Welcome to Mwalimu wa Digitali – Learn Digital Education Online
Mwalimu wa Digitali Team inawakaribisha wasomaji wote kutembelea blog yetu na kujifunza maarifa mbalimbali yanayohusu elimu ya kidijitali, teknolojia, ujifunzaji mtandaoni, masomo ya shule na maarifa ya kisasa.
Blog ya Mwalimu wa Digitali inalenga kutoa maudhui bora ya kielimu kwa wanafunzi, walimu, wazazi na wadau wa elimu wanaotafuta maarifa sahihi, miongozo ya masomo, habari za elimu, matokeo ya NECTA, pamoja na mbinu za kujifunza kwa njia ya kidijitali.
Tupo tayari kupokea maswali, maoni, mapendekezo na nyongeza za kielimu zitakazosaidia kuboresha maudhui yetu na kukuza elimu kwa ujumla. Tunawahimiza wasomaji kuwasiliana nasi kuhusu:
* Blog na maudhui ya kidijitali
* Ushauri wa kielimu
Sisi ni watu rafiki, watulivu na wanaojali elimu, hivyo usisite kuwasiliana nasi wakati wowote kupitia njia zetu rasmi za mawasiliano.
Contact Mwalimu wa Digitali
📧 Email (Official Contact):
[mwalimuwadigitali@gmail.com]
📱 WhatsApp (Fast Support):
+255 757 440 018
Tunathamini sana mchango wako na tunakaribisha kila msomaji kushiriki katika safari ya kujifunza, kufundisha na kukuza elimu kwa njia ya kidijitali.
Mwalimu wa Digitali – ULIMWENGU WA KIDIGITALI, NDIO ULIMWENGU WETU.
Comments
Post a Comment